Skip to content
  • Home
  • OUR COMPANY
    • ABOUT COMPANY
    • Our team
    • CSR
  • ESG
  • PROJECTS
    • Mahenge/Epanko Project
    • Tunduru Project
    • Tanga Project
    • Lemshuku, Arusha Project
  • OUR PRODUCTS
    • SPINEL
    • COBALT SPINEL
    • TSAVORITE
    • ALEXANDRITE
    • TOURMALINE
    • SAPPHIRE
  • EVENTS
  • CONTACT US
  • Home
  • OUR COMPANY
    • ABOUT COMPANY
    • Our team
    • CSR
  • ESG
  • PROJECTS
    • Mahenge/Epanko Project
    • Tunduru Project
    • Tanga Project
    • Lemshuku, Arusha Project
  • OUR PRODUCTS
    • SPINEL
    • COBALT SPINEL
    • TSAVORITE
    • ALEXANDRITE
    • TOURMALINE
    • SAPPHIRE
  • EVENTS
  • CONTACT US
  • Home
  • /
  • Events
  • /
  • Ruby awarded as the best Tax payer in the mining sector

Ruby awarded as the best Tax payer in the mining sector

1200_675-1
1200_675-2
1200_675-3
1200_675

Mkoa wa Morogoro Martine Shigela kushoto akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International Ltd na Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe. Salim Alaudin Hasham wakati wa ziara yake alipofanya ziara katika migodi ya Epanko wilayani Ulanga kwa lengo la kujionea namna shughuli za uchimbaji madini unavyofanyika. Mkoa wa Morogoro Martine Shigela kulia akiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International Ltd na Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe. Salim Alaudin Hasham aliyesimama katikati wakati wa ziara hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amempongeza Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International Ltd na Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe. Salim Alaudin Hasham kwa kampuni yake kuwa kinara wa ulipaji kodi katika sekta ya madini. Shigela ameyasema hayo wakati alipofanya ziara katika migodi ya Epanko wilayani Ulanga kwa lengo la kujionea namna shughuli za uchimbaji madini unavyofanyika. Aidha Shigela alipata wasaa wa kuzungumza na wafanyakazi wa migodi hiyo huku akiwasihi kuwa waaminifu ili kumpa nguvu mwekezaji huyo mzawa aendelee kutanua wigo wa uwekezaji na ajira ziweze kuongezeka. Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Ruby International ltd na Mbunge wa Jimbo hilo la Ulanga amesema anajivunia kuwa ni sehemu ya kuzalisha ajira kwani kwasasa anawafanyakazi zaidi ya 300 na anatarajia kutanua mgodi huo ili aweze kufikia ajira 700 mpaka 1000. Migodi ya Epanko inachimba madini ya Spinel ambayo yanatumika kutengenezea thamani mbalimbali.


Mkuu wa mkoa Martine Shigela yupo wilayani Ulanga kwa ziara ya siku mbili kujionea miradi mbalimbali ya maendeleo inavyokwenda na kuhakikisha fedha za serikali zinatumika ipasavyo.
Ruby International Ltd iliibuka kinara wa ulipaji kodi katika sekta ya Madini na kukabidhiwa tuzo iliyoandaliwa na wizara ya madini katika hafla maalum ambayo Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa mgeni rasmi.





Next ArticleNext

Related events

View All

Ruby International’s Managing Director of the Bangkok Office meets the President of the ASEAN Gems and Jewelry Trade Association

  • 22 May 2024
Read More

Ruby International Co,.Ltd celebrated the grand opening of its Bangkok international office on February 17th, 2024.

  • 18 May 2024
Read More

Hon. Salim Hasham (MP) CEO of Ruby international Ltd was presence at the meeting where both parties agreed to sign the MOU

  • 27 Feb 2024
Read More

Tanzania offices

Ruby Headquarter - Mahenge Office

P. O. Box 149 Ulanga, Mahenge Morogoro, Tanzania

  • +255 675 245 408

Ruby Dar es salaam Office

P. O. Box 31618 Ruvu Street, Mikocheni Dar es salaam, Tanzania

  • +255 654 088 330

Ruby Arusha Office

9th Floor, Left Wing, Mafao House Haile Selassie Road, Arusha, Tanzania

  • +255 715 131 388

International Office

Ruby international co.,ltd

Silom19 building , 2Floor Unit 212 , 45/1 Soi Silom19 ,Silom Road, Bangrak, Bangkok , 10500 THAILAND.

  • +66 2 2361593
  • +66 92 499 9439

Subscribe

Subscribe

Follow us

© 2024 Ruby international LTD. All rights reserved. Designed by YWDS.

© 2024 Ruby international LTD. All rights reserved. Designed by YWDS | Sitemap .
  • Home
  • OUR COMPANY
    • ABOUT COMPANY
    • Our team
    • CSR
  • ESG
  • PROJECTS
    • Mahenge/Epanko Project
    • Tunduru Project
    • Tanga Project
    • Lemshuku, Arusha Project
  • OUR PRODUCTS
    • SPINEL
    • COBALT SPINEL
    • TSAVORITE
    • ALEXANDRITE
    • TOURMALINE
    • SAPPHIRE
  • EVENTS
  • CONTACT US